JACKIE CHAN KUTOA FEDHA KWA WATAKAOGUNDUA KINGA YA CORONA

Nyota wa filamu nchini China, Jackie Chan ametangaza kuwa atatoa zawadi ya Yuan milioni 1 (Zaidi ya Tsh. milioni 300) kwa mtu au kikundi cha watu watakaogundua kinga dhidi ya #coronavirus

Jack Chan amesema yupo tayari kufanya chochote kuona #coronavirus vikipatiwa tiba au chanzo na kutokomezwa kabisa. Mpaka leo tarehe 13 mwezi 2, idadi ya watu waliopoteza maisha kwa ajili ya Corona ni 1369.

No comments

Powered by Blogger.