MTAZAME DIAMOND PLATNUMZ AKIIMBA WIMBO WA ALIKIBA

Akiwa anatokea Kigoma ambapo alienda kufanya show ya kutimiza miaka 10 tangu ameanza muziki, Diamond Platnumz amepost kipande cha video kikimuonyesha anaimba wimbo wa Alikiba ambao anaukubali zaidi. Tazama video hapo chini kufahamu wimbo wa Alikiba ambao Diamond alikuwa anauimba. Video ni kwa hisani ya Simulizi na Sauti.

No comments

Powered by Blogger.