MASTAA WENYE FOLLOWERS WENGI ZAIDI NCHINI TANZANIA


Mtandao wa Instagram umeendelea kujizolea umaarufu mkubwa duniani kote. Hapa kwetu, social network hii nayo si haba. Tumeshuhudia watu maarufu na hata watanzania wa kawaida kabisa wakitumia Instagram katika Maisha yao ya kila siku. Mtandao huu unatumika na wasanii katika shughuli zao mbalimbali. Aidha ni sehemu ambayo wasaniii wetu wanapata nafasi ya kuconnect na mashabiki moja kwa moja.

Orodha ya celebrities 15 wa Tanzania wenye followers wengi zaidi.

 • Diamond Platnumz – 8.1 million followers
 • Millard Ayo – 6 million followers
 • Wema Sepetu – 5.9 million followers
 • Vanessa Mdee – 5.5 million followers
 • Jokate Mwegelo – 5.3 million followers
 • Jacqueline Wolper – 5.1 million followers
 • Hamisa Mobetto & Shilole – 4.9 million followers
 • Aunty Ezekiel – 4.8 million followers
 • Linah Sanga – 4.6 million followers
 • Ali Kiba & Idris Sultan – 4.5 million followers
 • Harmonize – 4.3 million followers
 • Jux – 4.2 million followers
 • Zamaradi Mketema & Irene Uwoya – 4.1 million followers
 • Rayvanny – 4 million followers
 • Ommy Dimpoz – 3.9 million followers

No comments

Powered by Blogger.