THE GREEN KUTAMBULISHA WIMBO MPYA SIKU YA BIRTHDAY YAKE

Tarehe 23 mwezi wa 9 miaka kadhaa iliyopita ni siku ambayo msanii The Green kutoka Tanzania alizaliwa. Katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa The Green atatambulisha wimbo wake mpya ambao ni maalamu / zawadi kwa mama yake mzazi. Wimbo utatambulika kwa jina la 'Malkia Mama'.

No comments

Powered by Blogger.