CREYZ BIZY - CHEMBAMBA | CHIBONGE COVER (DOWNLOAD MP3)

Kutoka DomTown Records, namleta kwenu Creyz Bizy akikukaribisha kusikiliza cover ya wimbo wa Chibonge uliofanywa na Marioo, Abbah na G Nako. Creyz Bizy kaamua kuupa jina la 'Chembamba' ikiwa ni kinyume na chibonge. Tendea haki masikio yako kwa kuyasikilizisha huu mdundo aisee!

1 comment:

Powered by Blogger.