ANGALIA "MAAJABU" YA MSANII MBOSSO KUTOKA WCB

Kutoka WCB Wasafi, msanii Mbosso ambaye alitamba na nyimbo zake kama 'Hodari' na 'Tamu' ameachia wimbo mpya unaokwenda kwa jina la "Maajab". Unaweza kusikiliza wimbo mpya wa Mbosso "Maajab" hapo chini bila kusahau comment zako ni muhimu. Unaupa maksi ngapi wimbo huu?!!
AUDIO | MBOSSO - MAAJAB | DOWNLOAD MP3

No comments

Powered by Blogger.