FAHAMU KINACHOWAUNGANISHA ALBERT MANGWEA NA NIPSEY HUSSLE

Wakati ulimwengu wa hiphop ukiwa na huzuni kubwa ya kuondokewa na mmoja ya wasanii mahiri Nipsey Hussle, leo hii BlackMutu amekuletea kitu ambacho kinamuunganisha Nipsey na marehemu Albert Mangwea ambaye alipewa taji la 'Mfalme wa freestyle' nchini Tanzania na Afrika mashariki yote.
Tukiachana na kwamba wote ni marehemu, Nipsey na Mangwea wanaungana katika kazi zao za sanaa ya muziki. Ikiwa ni miaka zaidi ya kumi imepita tangu Nipsey aachie mixtape yake iliyofahamika kwa jina la  "Bullets Aint Got No Name Vol. 2", ndani yake kulikuwa na wimbo unaofahamika kwa jina la "Kush And Haze" ambao mdundo wake (instrumental) umetumika katika wimbo wa Albert Mangwea unaokwenda kwa jina la "Speed 120".

Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.