SIKILIZA "MWENYEKITI" KUTOKA KWA MSANII BORA WA HIPHOP 2018 / 2019 JOHN MP

Kutoka Akonshaz Music, msanii bora wa hiphop 2018/2019 kwa mujibu wa kipindi cha micharazo time kinachorushwa na Dodoma FM kikiongozwa na Benadict Ngelangela, John MP almaarufu kama MC Shujaa anakukaribisha kusikiliza wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la "Mwenyekiti". Unaweza kusikiliza na kuupakua hapo chini mtu wangu!

AUDIO | JOHN MP - MWENYEKITI | DOWNLOAD MP3
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.