AKONSHAZ MUSIC - MIMI NI NYANI ft. CASCOS x CROWN JAY x THE GREEN x RASH MARLEY

Akonshaz Music wanapenda kukukaribisha kuwa miongoni  mwa watu wa kwanza kabisa kusikiliza wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la 'Mimi Ni Nyani' ikiwa ni utayarishaji wake producer Wi2 Touchez na mixing imefanywa na Rash Marley. Katika ngoma hiyo Akonshaz Music wamewashirikisha Cascos, Crown Jay, The Green pamoja na Rash Marley. Ngoma hii inatoka utambulisho wa mixtape yao ambayo itatoka hivi karibuni. Stay tuned hapa hapa! while listening to #MimiNiNyani kwa danta mtu wangu. Bofya link ifuatayo kusikiliza ngoma mpya ya Akonshaz Music http://bit.ly/MimiNiNyani 


No comments

Powered by Blogger.