UKIWA NA MIZIGO DIZAINI HII NYUMBANI KWAKO, FUKUZA!

Ni bora ufuge kuku wa kienyeji kuliko gharama ya kufuga watu wazima 18+yrs wasiojielewa!
 1. Kama una mfanyakazi unaemfundisha jambo lilelile kila siku haelewi -FUKUZA
 2. kama una mbwa ambae habweki -FUKUZA
 3. Kama una mapaka yanaecheza na Panya FUKUZA HARAKA
 4. Ukielekeza kila siku geti/mlango ufungwe na haufungwi FUKUZA
 5. Kila siku unakumbusha kufunga gas na hawafungi HAO FUKUZA
 6. fundi ukimwelekeza hivi yeye hazingatii FYEKA
 7. Gheto lako umeweka kapeti la manyoya halafu mtu anaingia na viatu -FUKUZA
 8. Watu wanaingia chooni bila kufrash FUKUZA
 9. Wapangaji wanaofunga taulo wakiwa tumbo wazi nyumbani kwako-FUKUZA HARAKA.
 10. Kama unavijana nyumbani hawafanyi kazi hadi unaajili wengine kwa kazi za garden -FYEKELEA MBALI
 11. Marafiki wanaovizia haupo ndipo waje kukutembelea ili wamkute shemeji peke ake -FUTILIA MBALI
Haiwezekani l watu wakaishi kwenye himaya yako bila nidhamu FUKUZA, FYEKELEA MBALI!! Enzi za Esopo,Afrola ulela,kenge na hekaya za abunuasi zimepitwa na wakati! Kuvumiliana ni mwanzo wa kutiana umaskini
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.