CROWN JAY x THE GREEN - SLOW DOWN (OFFICIAL MUSIC AUDIO)

Kwa mara nyingine tena Akonshaz Music wanakukaribisha kusikiliza wimbo mpya kabisa kutoka kwa wasanii wanaounda kundi la G.O.G Click. Hapa kuna Crown Jay na pale kuna The Green ambao kwa pamoja wameachia dude la kuitwa 'Slow Down' ikiwa imetayarishwa na producer Wi2 Touchez kutoka DomTown Records. Sikiliza ngoma kwa danta wakati ukisubiri mixtape yao!
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.