MACHACHE KUHUSU FILAMU ZA NGONO MAREKANI

Huenda ikakushangaza ikakufurahisha au ikakuogopesha ila iko hivi kuhusu porn videos nchini Marekani pekee.

Kila baada ya dakika 39 video mpya ya porn inakuwa imekamilika kuandaliwa.

Kila sekunde watu 28258 hutazama porn kwenye internet.

Kila sekunde moja dola 3075 inatumika kuangalizia porn kwenye internet.

Kila sekunde neno adult linaandikwa na watu 372 kwenye search engines.

Wamarekani milion 40 huangalia porn kwa wakati tofauti tofauti.

Jinsia ya kike inaongoza kutazama porn.

Wachezaji hupimwa HIV kila baada ya wiki nne.

35% ya vitu vinavyodownlodiwa kwenye internet vinajumuisha porn.

Wastani wamarekani milion 32 hutumia computer zao za kazini kuangalia porn.
*Tupate break kisha tutarudi tena Marekani*

Nchi zinazoongoza kutazama porn ulimwenguni ni;

1.United states
2.United kingdom
3.Canada
4.Ireland
5.New zealand
6.Norway
7.Iceland
8.Australia
9.Sweeden
10.Denmark

*Tuwafahamu washiriki wa filamu hizi*

Asilimia 92 ya wacheza filamu hizi wanaelimu ngazi ya masters.

Wao pia huangalia filamu walizozicheza.

Wacheza filamu wa kiume hutumia viagra sindano na viamshi vingine ili dushelele kumudu kusimama dede mbele ya kamera.

Wacheza filamu wengi ni bisexual.

Eneo la Sait Barbara ndio linaongoza kutengenezwa filamu nyingi za ngono.

Wacheza filamu wa kawaida wa kiume hulipwa hadi dola 800 lakini watakocheza kwa mtindo wa kishoga hulipwa mara nne zaidi ya kucheza kawaida, hii hupelekea hata wasio mashoga kukimbilia kucheza filamu za mashoga.
*Malipo*

Scene ya msichana na msichana dola 600.

Scene ya mvulana na msichana dola 1000.

Scene ya kinyume na maumbile ni dollar 1200.

Scene ya dushe mbili kwa pamoja (DP) ni dola 4000.

Porn industry inatengeneza pesa nyingi kuliko ligi kuu ya kikapu nchini marekani

Kawaida wacheza filamu za ngono wa kike hupata dola 100000 hadi dola 250000 kwa mwaka.

Ambapo wacheza filamu wa kiume hupata dola 40000 kwa mwaka.

Jenna Jameson anamiliki utajiri wa zaidi ya dola milion 30.

Hayo ni machache tu kwa leo.
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.