SLIMSAL FT. GIFTED SON - LIFE TIFU SHEGA (OFFICIAL AUDIO)

Slimsal ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Life Tifu Shega' akiwa kamshirikisha Gifted son. Kama una kumbukumbu nzuri bila shaka utafahamu kuwa 'Life Tifu Shega' ni nyimbo ambayo ilifanywa miaka ya nyuma na kundi la kuitwa Mazich Reality kutoka Dodoma, Tanzania. Huu ni mwendelezo wa story anayotoa Slimsal kuanzia kwenye nyimbo ya Muda, Low battery na hii hapa Life Tifu Shega. Ukitaka kumwelewa sikiliza ngoma zote.
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.