WAKATI SLIMSAL ANAACHIA LOW BATTERY, CROWN JAY KUJA NA DOLLAR POUND

Baada ya kufanya vizuri kwa track yake inayokwenda kwa jina la 'Muda', msanii Slimsal leo hi 12.07 anatarajia kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Battery Low' ikiwa ni utayarishaji wake Qwich kutoka Tongwe records. 
Hiyo ni leo lakini kwa kesho Akonshaz Music inamleta kwenu msanii Crown Jay akiwa anatambulisha ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Dollar Pound'. Unahisi kati ya ngoma ya Slimsal #BatteryLow na ngoma ya Crown Jay #DollarPound ipi itakuwa ngoma kubwa zaidi kwa masikio yako?
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.