CROWN JAY X THE GREEN - DOLLAR POUND (OFFICIAL AUDIO)

The wait is over, Crown Jay anatukaribisha kuisikiliza ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Dollar Pound akiwa kashirikiana na The Green. Ngoma imetengenezwa na producer Wi2 Touches kutoka DomTown Records. Unaweza kuipakua kwa kubofya HAPA au click link kwa danta mtu wangu.
The Green ni member mpya wa Akonshaz Music ambaye anafanya muziki kwa crew ya G.O.G Click akiwa na watu kama Crown Jay ambaye amefanya nae ngoma ya #DollarPound na wengineo. Hivi karibuni msanii The Green nae ataachia project zake xoxo kaa nasi karibu upate updates zote kuhusu Akonshaz Music #WhereMusicLives ikiwa ni pamoja na show yao ya mwezi wa 8.

AUDIO | CROWN JAY X THE GREEN - DOLLAR POUND | DOWNLOAD MP3
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.