FIKRA NA HOJA TOFAUTI JUU YA WATU WANAOTUMIA MKONO WA KUSHOTO

Kuna maswali na hoja tofauti nimekua nakutana nazo kuhusiana na watu wanaotumia mkono wa kushoto (Left handed peoples). Baadhi ya hoja na maswali hayo ni:-

  • Kwanini mtu anayetumia mkono wa kushoto hua ana shabaha ya kupiga vitu na anaweza kurusha jiwe umbali mrefu zaid ya mtu mwenye kutumia mkono wa kulia
  • Eti ni kweli mtu anayetumia mkono wa kushoto muda wake wa kuishi (Life span) hua ni mdogo kulinganisha na watu wanaotumia mkono wa kulia.
  • Kwanini kama umezoea kula kwa kutumia mkono wa kulia siku ukitumia mkono wa kushoto hushibi vizur au hushibi kabisa (Hili nimejaribu kulifanya na nikaona sishibi)
Kama kuna mtu mwenye kufahamu kuhusu hizo facts naomba anifafanulie tafadhar..

Image result for animated download now gif
Powered by Blogger.