WEUSI - NiCOME (OFFICIAL MUSIC VIDEO) | DOWNLOAD MP3

Baada ya kimya kirefu kama kampuni, Weusi wamekuletea video ya ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la NiCome ikiwa ni chini ya utayarishaji wake Luffa ndani ya Wanenen studio. Humu ndani kahusika Hanscana katika utayarishaji wa video ya ngoma NiCome kutoka kwa Weusi.
Download Audio here; http://bit.ly/_NiCome
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.