WENGI TUMESEMA KUHUSU TUNDU LISSU LAKINI KWA WIMBO HUU ASLAY KATUZIDI

Lissu Get well soon!
kuna watu bwana eti wasiojulikana,
Wazalendo raha hatuna,
Tanzania amani hakuna,
wasidhani sisi ni wajinga sana,
kwa hili tunaumia roho zetu,
kwani lisu lipi baya alilofanya,
Mbona mwaharibu taifa letu,


Mwambieni ama zake ama zetu,

tutakufa nae


Mwambieni ama zake ama zetu,

tutakufa naye.


Sababu yake amani hakuna,

Ama zake ama zetu,
tutakufa naye.


Yalianzia kibiti Pwani,

na kutekana watu jamani,
siyo kama raia hatuoni,
kwa Lissu mmetugusa moyoni,Nini chanzo bwana au ni kusema ukweli,

wasidhani sisi ni wajinga sana,
kwa hili tunaumia roho zetu,
kwani Lisu lipi baya alilofanya,
Mbona mwaharibu taifa letu?


Mwambieni ama zake ama zetu,

tutakufa naye,


Mwambieni ama zake ama zetu,

tutakufa naye.


Kwa sababu yake amani hatuna!


Image result for animated download now gif 

No comments

Powered by Blogger.