VESTA - MBELE KWA MBELE | DOWNLOAD MP3

Baada ya kutamba kwa ngoma yake inayofahamika kwa jina la 'Hafai' msanii Vesta leo hii ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Mbele Kwa Mbele ambayo imefanyika kwenye studio za More Feelings production chini ya utayarishaji wake Ibra "Melodiez".
Ngoma hii ilitakiwa kutoka mwezi wa tarehe 01 mwezi huu (9) lakini kutokana na Vesta kupata dili ya kufanya remix ya ngoma hiyo na msanii Airboy kutoka Nigeria ndipo imebidi original version ya Mbele kwa Mbele iachiwe kwanza wakati utaratibu wa kuachia remix yake ukiwa unaendelea, kwani remix imeshakamilika na inafanyiwa mastering nchini Nigeria.

No comments

Powered by Blogger.