BEN POL AITOLEA VIDEO NYIMBO ALIYOPIGIA PICHA ZA "UTUPU"

Baada ya Ben Pol kupigwa vijembe, majungu na maneno ya kila aina kutokana na picha alizopiga ambazo inasemekana ni za utupu yaani ni picha ambazo Ben Pol amepiga huku akionyesha eneo kubwa la mwili wake likiwa wazi bila
ya nguo (utupu). Leo hii tarehe 23.06 Ben Pol ameachia video ya ngoma inayokwenda kwa jina la "TATU" a.k.a "3" akiwa ameshirikishwa Darassa ndani yake, hii ndiyo ngoma ambayo picha zake zililalamikiwa sana mitandaoni. Je unahisi na kwenye video atakuwa ameachia "utupu" wake 
kwa mara nyingine??!! watch'out the video kwa danta mtu wangu 
" TATU by BEN POL ft DARASSA "
produced by Tiddy Hotter in Dar es Salaam, Tanzania.  The song was written by Ben Pol and Darassa and the video was shot in Dar es Salaam Tanzania as directed by by Hanscana.


PICHA ZA "UTUPU" ZA BEN POL HIZI HAPA

Picha 1

Picha 2

Picha 3

Picha 4

No comments

Powered by Blogger.