MASTAA WA BONGO WANOONGOZA KUPIGA PICHA ZA UTUPU (+18)

SIKU  HIZI  WANAPIGANA  PICHA  CHAFU  MAKUSUDI  KABISAAAAAA!!!!!!....UKIWAULIZA  WATAKWAMBIA  "  NILIKUWA NA UGOMVI  NA MPENZI  WANGU"........AU  " NILIPIGWA  NIKIWA SIJITAMBUI".......AU  "NILIKUWA  NIMELEWA SANA"........

HIZI  ZOTE NI  SABABU ZA UONGO........  KWA SABABU KAMA  ULIKUWA  NA  UGOMVI NA  MPENZI WAKO NA  AKAKUPIGA  PICHA CHAFU, JE,  ULICHUKUA  HATUA  GANI DHIDI YAKE???......

HILI  NDO SWALI  KUBWA  LA  KUJIULIZA.....
KWA NINI UTULAUMU SISI  WAKATI  HATUKUKUPIGA HIZO PICHA  ZAKO?  SISI  HATUKUKUNYWESHA  HIZO POMBE........ 
NI KWELI, KILA MTU ANA HAKI YA KUFANYA CHOCHOTE  ....LAKINI  YOTE YANAFANYIKA KWA MUJIBU WA SHERIA ZA NCHI  HUSIKA...... 
CHANGUDOA AKIJIUZA,  POLISI WATAMKAMATA  NA KUMFIKISHA  MAHAKAMANI, IWAJE  WEWE  UNAYEPIGWA AU KUPIGA  PICHA  ZA  NUSU  UTUPU??


WAANDISHI  HAWAMDHALILISHI  MTU  YEYOTE, BALI YEYE  NDIYE  ANAYEJIDHALILISHA...... 

USHAURI: MPENZI WAKO  AKIKUPIGA  PICHA CHAFU BILA WEWE  KUJUA,  THEN ZIKASAMBAA  MITANDAONI,  KAMSHITAKI YEYE .......HII  ITASAIDIA  KUIJULISHA JAMII KUWA HUJATENDEWA  HAKI NA KWAMBA ULIPIGWA  BILA  RIDHAA  YAKO...  KAMA HAIKUWA RIDHAA YAKE  JE AMECHUKUA  HATUA GANI  KWA HUYO MPENZI  WAKE ALIYEMPIGA? KAMA  HAKUMCHUKULIA  HATUA  YOYOTE KISHERIA, BASI ALIDHAMIRIA 


NA HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA UTUPU / UCH* ZA MASTAA WA BONGO (+18)

No comments

Powered by Blogger.