CREYZ BEEZ FT UNCREAKABLE - LEAVE MY LIFE | DOWNLOAD MP3 | BLACKMUTU BLOG

Hi ni nyingine tena kutoka kwa Creyz Beez wa Akonshaz Music ikifahamika kwa jina la "Leave my life" akiwa kamshirikisha Uncreakable. Ngoma imefanyika DomTown records chini ya utayarishaji wake Magnificent. Ngoma hii ni ya kwanza kutoka katika album inayoandaliwa na Creyz Beez itakayokwenda kwa jina la True Pain.
Take your time and listen to the song below.

No comments

Powered by Blogger.