VIDEO YA AY FT DIAMOND PLATNUMZ - ZIGO REMIX YAFIKISHA WATAZAMAJI (1M VIEWERS) MILIONI MOJA NDANI YA WIKI YA KWANZA

Ikiwa na wiki moja tangu itambulishwe rasmi, video ya AY aliyomshirikisha Diamond Platnumz #ZigoRemix imefikisha watazamaji milioni moja na ushee kwa mtandao wa YouTube. Hii sio kitu ya kawaida kwani mpaka sasa sio wasanii wote wakali nchini Tanzania wameweza kufikisha watazamaji milioni katika video zao YouTube na kikubwa zaidi ni kufikisha watazamaji hao milioni ndani ya wiki ya kwanza tangu video hiyo kutambulishwa rasmi..!!
Kama hukupata kuiona video hiyo ya #ZigoRemix kutoka kwa AY ft Diamond Platnumz fanya kuidere kwa danta uwe miongoni mwa watazamaji zaidi ya milioni kuiona..

No comments

Powered by Blogger.