EXCLUSIVE MUSIC: AY FT DIAMOND PLATNUMZ - ZIGO (REMIX) | AUDIO & VIDEO TEASER

Ni kawaida yake Legendary wa muziki wa Bongo Flavour Ambwene Yessaya..
..kufanya video kali.. sasa hapa kafanya remix ya ile ngoma ambayo imechukua mwaka mzima kuwepo masikioni mwa wapenda muziki muzuri..! Hapa Ay akishirikiana na Diamond Platnumz kwa #ZigoRemix
Waweza pia kumFOLLOW AY kwa instagram kwa kubofya HAPA

No comments

Powered by Blogger.