COMING SOON: CENTRAL ZONE FT. BEN POL - MTOTO WA DOM

Baada ya kufanya vema na ngoma kibao ambazo zimepata kuchezwa na media zote Tanzania, na pia kichupa chao "Shakalaka" ambacho kinafanya vizuri kwa Tv stations mbalimbali hapa Bongo, tareha 07 ezi ya 08 dizain kama Central Zone wanaachia kitu kiiiipyaa hapa akiwa ameshirikishwa Ben Pol a.k.a Baba Sophia kwa ngoma hiii ambayo itafungua milango mingine kwa Central Zone ikiwa pamoja na kuwepo katika Tuzo za KTMA mwaka 2016 na kama unabisha ANDAMANA. Ngoma inatoka ijumaa xoxo kuwa karibu na radio yako na pia usisite kutembelea blog ya kijanja zaidi kwa habari zaidi na utapata kuisikiliza ngoma hii haap pindi itakapotoka. #SupportMuzikiMuzuri

No comments

Powered by Blogger.