HII NDIYO VIDEO YA RIHANNA AMBAYO NI "CHAFU" NA "INATISHA" (+18)
Mwanamuziki wa chapa ya Pop, Rihanna ametibua mjadala mkali sana kwenye mitandao ya habari za Muziki na wasanii.
Hii ni baada ya kipusa huyo kuachia video yake mpya ya dakika 7 siku tano zilizopita ambayo inapongezwa kwa usanii na vilevile inakashifiwa sana kwa kuonyesha viungo vya utu uzima na kuwa na fujo kupita kiasi. Aidha wanaoikashifu wanadai kuwa inaonesha unyama na ukatili wake ambayo wanahofu itawapotosha wafuasi wake wanaomtazamia kuwapa mwelekeo. Katika video hiyo Rihana anaonekana akimlewesha mwanamke ambaye mumewe inakisiwa anadeni lake.
Muimbaji huyo baadaye anachukua kisu na kisha video inakamilika akiwa ametulia kwenye kasha lililojaa pesa akiwa uchi wa mnyama na akiwa damu. Polisi aonekana akipeleleza lakini hakupata chochote, Rihanna anamzamisha majini. Video hiyo ya dakika saba tayari imetazamwa mara milioni 17 katika siku 5 tu tangu ichapishwe.
Je maoni yako kuhusu video hiyo ni yapi.
Chanzo: BBC SWAHILI

Related Rihanna Nudes:

> Rihanna Nudes 1
> Rihanna Nudes 2
> Rihanna Nudes 3
> Rihanna Nudes 4
> Rihanna Nudes 5

No comments

Powered by Blogger.